Skip to main content

Posts

Showing posts from July 11, 2010

IRINGA MUNICIPAL HOSPITAL

Under construction.

KIHESA AREA IRINGA

On the way to church on Sunday

MRS SIMBAYA

Anawajibika

MWANAFUNZI WA MUCE AJITOSA KUWANIA UBUNGE MBINGA MASHIRIKI

Na Friday Simbaya, Iringa WANACHAMA zaidi wanatangaza nia kugombea ubunge katika majimbo kadhaa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tawi la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), Nditi Edmund, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mbinga Mashariki mkoani Ruvuma . Edmund ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Elimu cha Mkwawa, Mkoa Iringa, ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Mbinga Mashariki kupitia CCM. Akizungumza na waandishi wa habari jana chuoni hapo, Nditi Edmund alisema kuwa ameamua kugombea ili kuleta maendeleo na kudai kuwa jimbo hilo linakabiliwa na matatizo mengi ikiwa ni pamoja ukosefu wa miundombinu, soko la kahawa na elimu. Alisema kuwa endapo akishinda atafanya mambo mengi kwa shirikiana na wananchi wa jimbo hilo pamoja na kushawishi serikali kujenga miundomibinu ya kilimo pamoja na kuwapatia wakulima soko la uhakika la kahawa ambalo kwa sasa...

MWANAFUNZI WA MUCE AJITOSA KUWANIA UBUNGE

Na Friday Simbaya, Iringa WANACHAMA zaidi wanatangaza nia kugombea ubunge katika majimbo kadhaa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tawi la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), Nditi Edmund, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mbinga Mashariki mkoani Ruvuma . Edmund ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa, Mkoa Iringa, ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Mbinga Mashariki kupitia CCM. Akizungumza na waandishi wa habari jana chuoni hapo, Nditi Edmund alisema kuwa ameamua kugombea ili kuleta maendeleo na kudai kuwa jimbo hilo linakabiliwa na matatizo mengi ikiwa ni pamoja ukosefu wa miundombinu, soko la kahawa na elimu. Alisema kuwa endapo akishinda atafanya mambo mengi kwa shirikiana na wananchi wa jimbo hilo pamoja na kushawishi serikali kujenga miundomibinu ya kilimo pamoja na kuwapatia wakulima soko la uhakika la kahawa ambalo kwa sasa sio nzuri san...