Allain Charles mhasibu wa WWF-Iringa akitoa utaratibu wa uwezeshaji wakati kwa warsa kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo. Afisa Maji Ofisi ya Maji Bonde la Rufiji (RBWB) Idris Abdallah Msuya akitoa ufafanuzi juu ya warsha kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo . Mhadhiri kutoka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini -Dodoma, Andrew Komba akitambulisha ratiba kwa wadau wakati wa warsha kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo . Mchoraji maarufu kutoka Dar es Salaam Rashid Mbago akimtambulisha Afisa Elimu ya Mazingira kutoka WWF Ruaha Water Program, Mwamini Masanja kwa wadau wakati wa warsh...