Skip to main content

Posts

Showing posts from September 17, 2018

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kushirikiana na wadau wa haki za watoto kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyochangia watoto kushindwa kutimiza ndoto zao.  Wakizungumza jana wakati wa semina wa mabaraza ya watoto ngazi ya kata wanafunzi hao wanasema vitendo vya ukatili vimekuwa vikiongezeka kila siku kwa jamii inayo wazunguka kutokana na kutokuwapo kwa sheria kali dhidi yao huku wazazi wakionekana kushindwa kutimiza haki za watoto.  Malezi mabaya ya familia yanachangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa vitendo viovu ikiwamo ubakaji na ulawiti hivyo Wazazi ,walezi na jamii kwa ujumla wanayonafasi kubwa ya kuijenga jamii yenye maadili dhidi ya vitendo viovu.  Jumla ya watoto 140 kutoka kata za Bumilinyinga, Idunda na Ihowanza walishirika semina ya baraza la watoto ngazi ya kata kuhusu ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na...

Children Demands The Government Enact Strict Law Against GBV

By Friday Simbaya, Mufindi  Primary and secondary school students in Mufindi District Iringa have requested the government to cooperate with children's rights activists to implement strict law against gender based violence (GBV).  They said by enacting stringent laws against GBV it will contribute to the fulfilling dreams for young children.  The children told the TUMBUSI BLOG yesterday during a children’s Council meeting at ward level, that violent acts have risen every day in the community around due to lack of strict law against them while parents seem to fail to fulfill the rights of children.  It is believed that family abuse contributes significantly to an increasing rise in harmful acts to children including rape and lawlessness.  Parents, guardians and society generally have the greatest potential for building a moral society against evil practices.  Evelina Mwilapwa, a Form Three (Form III) student at Ihowanza Se...