Skip to main content

Posts

Showing posts from December 2, 2016

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AENDESHA HARAMBEE YA SH.BILIONI 1 KUSAIDIA MFUKO WA UKIMWI NCHINI

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akizundua Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Udhibiti Ukimwi (ATF) Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk.Leonard Maboko akizungumza kwenye uzinduzi huo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akihutubia kwenye uzinduzi wa mfuko huo. Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo. Meza kuu. Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaa, Alhad Salum Mussa (kulia), akishiriki uzinduzi wa mfuko huo na wadau wengine. Uzinduzi ukiendelea. Mkutano ukiendelea. Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo. Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo. Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (katikati), akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Godfrey Simbeye kwa ushiriki wake katika kuchangia mfuko huo. Kutoka kushot...

Mealie Meal price increases expected to reduce purchasing power

The US funded Famine Early Warning Systems Network (FEWSNET) says poor households continue to experience reduced purchasing power because of the high maize and meal prices. FEWSNET says after some stability in maize meal prices, the start of the lean season across parts of the country has resulted in a rise in maize meal prices as demand for industrially processed meal picks up. It says meal prices are about 25% and 60% above the previous season and the five-year average, respectively. FEWSNET says these high price levels for meal are being driven by high maize grain prices. It observed that the export ban has been indefinitely extended because the Food Reserve Agency (FRA) was not able to reach its purchase goal of 500,000 MT of maize for the strategic grain reserves. In order to meet this goal, a tender had been issued for the purchase of 220,000 MT of maize grain, but the response has been less than favorable and they are still unlikely to meet the target...

WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUTATUA MGOGORO KIWANDA CHA KARATASI

Afisa Mipango Miji na Vijiji wa Wilaya ya Kilolo, Bernard Kajembe akiendesha mdahalo katika Kijiji cha Makungu kata ya Makungu tarafa ya Kasanga wilayani Mufindi, mkoani Iringa.Mdahalo huo wa nini kifanyike ili kupunguza migogoro ya ardhi ulionadaliwa na shirila lisilo la kiserikali la TAGRODE la mkoani Iringa hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya) Mwananchi wa Kijiji cha Makungu kata ya Makungu tarafa ya Kasanga wilayani Mufindi, mkoani Iringa akitoa maoni yake wakati wa mdahalo wa nini kifanyike ili kupunguza migogoro ya ardhi ulionadaliwa na shirila lisilo la kiserikali la TAGRODE la mkoani Iringa hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya) MUFINDI: Wananchi wa kijiji cha Makungu kata ya Makungu tarafa ya Kasanga wilayani Mufindi, mkoani Iringa wameomba serikali kutatua mgogoro wa ardhi uliopo kati ya kijiji hicho na Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi paper mills LTD (MPM). Wananchi hao walisema hayo wakati wa mdahalo wenye lengo la nini k...

SAKATA LA KUPOTEA MZUNGUKO WA FEDHA MITAANI, ZAIBUKA NA SURA MPYA...

Msajili wa Hazina nchini, Lawrence Mafuru amesema benki nchini zinashindwa kueleza ukweli juu ya kuyumba kwao na kwamba madai ya kuwa hali zao ni mbaya kutokana na agizo la serikali la kutaka fedha zake zitunzwe Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hazina ukweli. Mafuru amesema taarifa ambazo serikali wanazo ni kwamba benki hizo zaidi ya 50 zimekopesha fedha nyingi kwa watu mbalimbali, lakini marejesho ya madeni hayo yamekwama kiasi cha kusababisha benki hizo ziwe katika hali hiyo. Akizungumza jana Dar es Salaam, Msajili wa Hazina licha ya kukiri kuwa mzunguko wa fedha umepungua kutokana na Tanzania kuchagua kwamba fedha inazozipata zitumike katika miradi ya maendeleo badala ya matumizi ya kawaida, benki zinazolalamika zimeshindwa kurejesha fedha ilizokopesha watu na taasisi mbalimbali. Akizungumzia taarifa zinazoenezwa kwamba benki zimekosa fedha za kujiendesha, Mafuru alisema taarifa walizozipata ni kwamba Septemba mwaka huu, benki hizo zaidi ya 50 nchini zimekopes...

RC ARUHUSU MJANE KUJENGA ENEO AMBALO POLISI WAMEMZUIA KUJENGA

Badhi ya watumishi wa halmashauri ya Mji Makambako wakimsikiliza mkuu wa mkoa alipo fika katika Halmashauri yao kujia shina ma matatizo yao (Picha Hapo Chini) Mkuu wa mkoa wa njombe Dr Rehema Nchimbi Akizungumza na wafanyakazi wa halmashauri ya Makambako (Picha Hapo Juu) SERIKALI mkoani Njombe imetoa ruhusa ya kujenga nyumba mama mjane ambaye amezuiriwa na Jeshi la polisi wilaya ya kipolisi Makambako kutokana na eneo hilo kuwa na mgogoro baina yake na jeshi hilo kwa kuwa majirani wa mama huyo wameruhusiwa kujenga. Kauli hiyo inatolewa na mkuu wa mkoa wa Njombe Dr. Rehema Nchimbi baada ya kupata taarifa za kuwapo kwa mkanganjiko wa kiwanja cha mjane huyo na kuwapo kwa mvutano mrefu baina ya yake na jeshi la polisi wakati akiwa na mkotano na watumishi wa halmashauri ya mji Makambako ambako yupo katika ziara ya kikazi mkoani humo. Dr. Nchimbe anasema kuwa mama huyo ajenge kama majirani zake walivyo ruhusiwa kujenga maeneo hayo na wakat...

WANANCHI WAOMBA ENEO LAO KUPIMWA NA KUGAWIWA VIWANJA NJOMBE

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafuri akizungumza na wananchi wa Mjini Njombe katika mkutano wake wa Hadhara Baadhi ya wakazi mjini njombe wakisikiliza mkutano wa mkuu wa wilaya ambapo walipata nafasi ya kutoa maoni yao WANANCHI halmashauri ya Mji wa Njombe wamemuomba mkuu wa wilaya hiyo Ruth Msafiri kuiamuru halmashauri hiyo kuwagawia wananchi viwanja vilivyopimwa ambapo katika halmashauri hiyo tangu mwaka 2012 hakujapimwa tena viwanja. Wananchi wanatoa kero zao wakati wa mkutano wa kwanza wa mkuu wa wilaya na wananchi ambapo ni kitu cha kwanza kufanyika wilayani hapo. Nestori Kigae akitoa kero yake kwa mkuu wa Wilaya ya Njombe alisema kuwa halmashauri hiyo haigawi viwanja kwa vijana na kuwa sasa ni muda mrefu viwanja havijagawiwa na kusasabisha wananchi kukosa maeneo ya kujenga. Alisema kuwa vijana wapo tayari kujenga makazi yao lakini halmashauri hiyo haipimi viwanja na kuvigawa kwa wananchi. Mkuu wa wilaya alitoa nafas...

MAJADILIANO KWA KUTUMIA PICHA

Washiriki katika Warsha ya siku mbili ya Shirika la WWF kupitia Programu ya Maji Ruaha (RWP) inayohusu shughuli za mradi bonde dogo la Mbarali na mkakati wa uendelezaji wake inayofanyika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakifanya majadiliano ya picha. (Picha zote na Furaha Eliab)

MDAHALO

Afisa Ardhi Mwandamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Fred Mgeni akikusanya maoni ya wananchi juu ya hutatuzi wa migogoro ya ardhi vijijini wakati wa madahalo ulioandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la TAGRODE la mkoani Iringa kwa kushirikiana shirika la PELUM Tanzania hivi karibuni.  (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

CHAMA CHA AFYA YA JAMII TANZANIA (TPHA) CHAPATA VIONGOZI WAPYA

Mwenyekiti Mteule wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Shaibu Mashombo (wa nne kushoto), akiwa na viongozi wenzake wateule waliochaguliwa katika mkutano mkuu wa chama hicho 2016 jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Dismas Vyagusa, Violeth Shirima, Dk. Godfrey Swai, Dk.Nderineia Swai, Dk. Feliciana Mmasi, Dk. Mwanahamisi Hassan na Dk.Elihuruma Nangawe ambaye alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho aliyemaliza muda wake. Mwenyekiti wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), aliyemaliza muda wake Dk.Elihuruma Mangawe (katikati), akiongoza kikao cha mkutano mkuu wa chama hicho. Kushoto ni Katibu Mkuu wa TPHA, Fabian Magoma na kulia ni Ofisa Utawala wa chama hicho, Erick Goodluck. Mwenyekiti Mteule wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Shaibu Mashombo (kulia) akiwaelekeza jambo wajumbe kabla ya kufanyika kwa uchaguzi uliompa nafasi hiyo. Wajumbe wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea. Wajumbe wa mkutano huo. ...