Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Peramiho, Jane Mkuwa. (Picha na Friday Simbaya) Na Friday Simbaya, Songea Shule ya Msingi Peramiho, Wilaya Songea Vijijini mkoani Ruvuma, imepanda na kushika nafasi ya kwanza kiwilaya kutoka nafasi ya pili mwaka jana kati ya ya shule 89, imefahamika. Akiongea na MWENGE, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Peramiho, Jane Mkuwa leo ofisini kwake alisema shule yake imepanda nafasi ya kwanza kiwilaya kati ya shule 89 ukilinganisha na mwaka jana ambapo shule hiyo ilishika nafasi ya pili. Aidha, shule hiyo imekuwa ya sita kimkoa kati ya shule 719 na nafasi ya 428 kitaifa kati ya jumla ya shule 15,656. Shule hiyo ina jumla ya walimu 20 wakiwemo walimu wa kike kumi na tano na wakiume wa tano. Alisema kuwa watahiniwa waliofanya mtihani wa kumaliza darasa la saba kwa mwaka 2013 walikuwa 33 na wote wamefaulu, sawa na asilimia 100 ya ufaulu. Wanafunzi waliopata alama za juu kulik...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.