Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Iringa, Dodoma, Pwani na wenyeji Morogoro akiendelea na warsha ya namna ya kuripoti uchaguzi 2015 iliyoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na shiriki la BBC kupitia mradi wake wa Media Action inayofanyika mjini Morogoro. Katika semina hiyo waandishi wa habari wamepata mafunzo kuhusu mambo muhimu katika uchaguzi pamoja na vikwazo katika uchaguzi wa kidemokrasia. (Picha na Friday Simbaya)
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.