Skip to main content

Posts

Showing posts from December 6, 2014

MKUTANO WA CCM KAMPENI CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA KIHESA SOKONI...!

MKUTANO WA CHADEMA KAMPENI CHAGUZI ZA SERIKALI ZAA MITAA KIHESA SOKONI...!

Katika mitaa ya 192 ya Manispaa ya Iringa CCM wamepita bila kupingwa katika mitaa 19.

MVUA NNE SI HABA MTOTO WA MWANAKUNDI YA MTAA KWA MTAA...!

Mtoto Gaileen Geofrey Ngelime ametimiza miaka minne lakini pia amekuwa wa nne hapo darasani kwao. Nina furaha kubwa kulishwa keki na Gaileen kwa niaba ya kundi ninaloliongoza nimewaakilisha.

Hukumu kesi ya ujangili ‘kiini macho’

Moshi/Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Kilimanjaro, jana imemhukumu raia wa Pakistan Ahmed Kamran kifungo cha miaka 60 jela baada ya kumtia hatiani kwa makosa manne ikiwamo kusafirisha twiga wanne hai kwenda Qatar.

SHULE YA MSINGI IGOMAA

Wanafunzi wa shule ya msingi ya igomaa kata ya sadani tarafa ya sadani  wilaya ya mufindi, mkoa wa Iringa w akicheza mchezo wa kimama baada ya kufunga shule jana. Wanafunzi wa shule ya msingi ya igomaa kata ya sadani tarafa ya sadani wilaya ya mufindi, mkoa wa Iringa wakifurahia mbele ya kamera baada ya kufunga shule jana.

IRINGA SASA HAKUNA SHIDA YA MBEGU YA MITI

  Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa).   Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa)..Mango grafting   Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa). Eucalytus Seeds zikiwa zimeanikwa. Kitalu cha wakala wa mbegu ya miti (Tanzania tree seed agency southern and western zonal seed centre- iringa). Miti wa Sausage tree (Mwegea)

Magazeti Leo Jumamosi