Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) akiteta jambo na mmoja wa waombolezaji wa msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, Moshi Chang'a wakati wa maziko katika makaburi ya Mtwivilla yaliopo Kihesa Manispaa ya Iringa mkoani Iringa leo. Mwandishi wa habari wa www.fridaysimbaya.blog.com, Friday Simbaya (kushoto) akipata taarifa kutoka kwa mtoto wa mwisho wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, marehemu Moshi Chang'a, Hamis Moshi Chang'a wakati wa maziko katika makaburi ya Mtwivilla yaliopo Kihesa Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa leo. (Picha na Sagine Edward Majura) Mtoto mwingine wa marehemu Moshi Chang'a, Shabaan Mosji akifarijiwa na baadhi ya waombolezaji nyumbani kwa baba yake Kihesa kwa Mwachang'a baada ya maziko leo. Mtoto wa mwisho wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, Moshi Chang'a, Hamis Moshi Chang'a (katikati)...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.