Basi la Kampuni ya LUTE LWEDI la pinduka na kujeruhi abiria zaidi ya 20 na kukimbizwa Hospitali ya Mkoa ya Iringa kwa matibabu katika ajali iliyotokea eneo la Lundamatwe wilayani Kilolo, Mkoa wa Iringa jioni ya leo barabara kuu ya Dar es Salaam-Iringa. Basi hilo lilikuwa linatoka Dar kwenda Tunduma wilayani Mbozi, Mkoa wa Mbeya . Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Twinzi iliyopo wilayani Mbozi mkoani Mbeya Joshua Ngimio (31) na mkazi wa Mbozi akisubiri kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali na kuumia katika paji la uso katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa. Baadhi abiria waliopata ajali wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa (OPD) wakisubiri matibabu baada ya kupekewa na wahudumu wa hospitali.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.