Skip to main content

Posts

Showing posts from November 4, 2015

TB JOSHUA AKUTANA NA LOWASSA KWA MARA NYINGINE

Mh. Edward Lowassa akimkaribisha mgeni wake, Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, wakati alipomtembelea kwa mara nyingine nyumbani kwake, Masaki Jijini Dar es Salaam leo Novemba 4, 2015.  Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, akizungumza jambo na Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wakuu wa UKAWA, Mh. Freeman Mbowe, Mh. James Mbatia na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Picha na Othman Michuz

Mwakalebela files a petition to challenge election results

Acting Secretary for CCM Iringa Region, Elisha Mwampashi (Photo: Friday Simbaya) FORMER parliamentary candidate for Iringa Urban Constituency, Frederick Mwakalebela, through Chama cha Mapinduzi (CCM) ticket has opened a court case to challenge the results gave victory to Rev. Peter Msigwa (CHADEMA). The election case No. 5 of the 2015 was an opened at High Court Iringa and it is expected to begin hearings within 14 days since opening the case. Frederick Mwakalebela said that the results which gave victory to Rev. Msigwa were designed to favour the Chadema candidate before the elections. Speaking to journalists yesterday (today), Acting Secretary for CCM Iringa Region, Elisha Mwampashi on behalf of a candidate said that the candidate will use the constitutional right to challenge the result in court in order to respect citizens and their rights. He said that the party opened the case for two people who are Iringa Urban Constituency Returning Officer declared ...

MWAKALEBELA AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO

Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa , Elisha Mwampashi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo (Picha na Friday Simbaya) ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini, Frederick Mwakalebela, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), amefungua kesi mahakamani ya kupinga matokeo yaliompa ushindi, Mchungaji Peter Msigwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kesi hiyo ya uchaguzi iliyofunguliwa kwa No. 5 ya mwaka 2015 imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Iringa inatarajia kuanza kusikilizwa ndani ya siku 14 tangu kufunguliwa shauri hilo. Mwakalebela alisema kuwa matokeo yaliyompa ushindi Mch. Msigwa yalikuwa ni ya kutengenezwa ili kumbeba mgombea huyo wa chadema kabla ya kufanyika kwa uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari jana (leo), Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa , Elisha Mwampashi kwa niaba ya mgombea alisema kuwa mgombea huyu atatumia haki ya kikatiba kupinga matokeo hayo mahakamani ili maoni ya wananchi kuheshimiwa na kupata haki zao za ...

Historic meeting of Chinese and Taiwanese presidents prompts hope and suspicion

Facebook Twitter Pinterest  Activists in Taipei protest against the meeting between the Taiwanese and Chinese presidents. The placard reads: ‘No society consensus; stop Ma-Xi meeting.’ Photograph: Pichi Chuang/Reuters The presidents of China and Taiwan will dine together in Singapore on Saturday in what will be the first meeting of its kind since Chairman Mao’s communist troops forced their nationalist enemies from the Chinese mainland in 1949. Chinese president Xi Jinping and his Taiwanese counterpart Ma Ying-jeou will meet to “exchange views on cross-strait issues”, officials in Taipei said. Zhang Zhijun, a Chinese official responsible for Taiwanese affairs, said the two men would “exchange views on promoting the peaceful development of cross-Strait relations”. Beijing still officially considers Taiwan a renegade province that should be reunified with the mainland. Analysis Taiwan prepares for turmoil as China watches its elections from afar The bas...

MAPITIO YA MAGAZETI JIONI NA SIMBAYABLOG

Kesho, Alhamisi, Novemba 5, 2015 ni Sikukuu ya mapumziko

Cheti cha Urais kilichokabidhiwa rasmi na Tume ya uchaguzi Oktoba 30, 2015 kwa Rais mteule wa awamu ya tano. (PICHA NA IKULU) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko. Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania kushiriki katika sherehe za kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne na kuingizwa madarakani Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam leo Jumatano, Novemba 4, 2015 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Yohana Sefue, Rais Kikwete ametoa uamuzi huo kwa mujibu wa mamlaka aliyo nayo chini ya Kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa. Imetolewa na: Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu,  DAR ES SALAAM.

DMF YAANDAA TAMASHA KUBWA LA KUSAIDIA WATOTO NJITI NCHINI

Mwenyekiti wa Mfuko wa Doris Mollel Foundation, Bi. Doris Mollel akiwakaribisha wageni mbalimbali na wanahabari wakati wa utambulisho maalum juu ya tamasha linalotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili Novemba 8, katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Afya, uzazi na watoto, Bi. Georgina Msemo na kulia kwake ni Dk. Sonal Peter ambaye ni daktari wa watoto (Pediatrician) kutoka Hospitali ya Agha Khan. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog) . Na Andrew Chale [DAR ES SALAAM] Katika kuadhimisha siku ya watoto njiti duniani, Taasisi ya Doris Mollel Foundation (DMF) imeandaa tamasha la kwanza na la aina yake kufanyika nchini siku ya Jumapili Novemba 8. 2015 kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni kuanzia majira ya asubuhi mpaka saa 12 jioni huku wasanii mbalimbali wakitarajiwa kushiriki kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia vifaa vya kusaidia watoto wanaozaliwa na uzito pungufu ama watoto njiti. Akielezea mbele ya wanaha...

FRED SWAGG AACHIA ‘NIMEWAKA’ MTANDAONI

Na Modewjiblog, team Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki Bongo, Fredrick Kalala ama jina la usanii akijulikana zaidi, Fred Swagg ameachia wimbo mpya mtandaoni ‘NIMEWAKA’ au ‘Nimelewa’. Akizungumza na Modewjiblog kwa njia ya simu kutoka jijini Mwanza, Fred Swagg mkali wa vibao vya Maandishi alichowashirikisha Younf Killer na Kad Go. Ameeleza kuwa katika wimbo wake huo mpya wa Nimewaka, upo katika mahadhi ya rap, ni maalum kwa watu wa rika zote hasa sehemu za starehe ikiwemo Club. “Wimbo huu mpya wa Nimewaka ni wa ku-Party’ ndani yake kuna komediani ikielezea watu wanavyotumia pesa na kulewa pombe za aina mbalimbali.. hivyo fans wakae mkao wa kula kuanzia sasa itakuwa mtandaoni ikiwemo mkito.com “ ameleza Fred Swagg. Fred Swagg anabainisha video ya wimbo huo zinatarajia kuanza muda wowote kuanzia mwezi ujao huku kwa sasa akiendelea na promo za nyimbo zake zingine zinazofanya vyema kwenye vituo vya radio mbalimbali za ndani na nje wimb...