Skip to main content

Posts

Showing posts from November 18, 2017

AMKA NA MAGAZETI YA LEO NA TUMBUSI BLOG

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo November 19 2017. 

TASAF WILAYANI IRINGA WAPONGEZWA

Na Friday Simbaya, Iringa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Andy Karas ameridhishwa na utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wilayani Iringa kupitia mpango wa kunusuru kaya masikini nchini kwa awamu ya tatu. Karas alisema hayo jana walipotembea Kijiji cha Igingilanyi wilayani Iringa, mkoani Iringa na kujionea matokeo ya program mbalimbali zinazoendeshwa na USAID kama vile sekta ya kilomo, lishe, elimu,afya, wanawake na vijana na utawala bora. Alisema kuwa amefurahishwa na hali za wanufaika kwa kuona baadhi ya wanufaika maisha yao yamebadilika kwa kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo ufagaji wa kuku na nguruwe. “Nimefurahi sana kuona baadhi ya wananchi wakibadilika kimaisha kwa kuwa na makazi bora kupitia msaada unaotelewa na USAID kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii kupitia mpango wake wa kunusuru kaya masikini,” alisema Karas. Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ...

USAID HAILS IRINGA DISTRICT FOR IMPLEMENTING WELL TASAF PROGRAM

Part of TASAF program beneficiaries at Igingilanyi Village in Iringa District, Iringa Region singing and chanting for Mission Director of United States Agency for International Development (USAID) Tanzania, Andy and his delegation when they visited their village yesterday. (Photo by Friday Simbaya) IRINGA: Mission Director of United States Agency for International Development (USAID) Tanzania, Andy Karas has been satisfied with the implementation of the Tanzania Social Action Fund (Tasaf) in Iringa district, through the program to assist poor people in the country for the third phase. Karas said yesterday when he and his delegation visited Igingailanyi Village in Iringa District, Iringa region to see the results of various USAID programs such as the agriculture, nutrition, education, health, women and youth and good governance. He said he was pleased seeing some of beneficiaries have changed their lives by setting up various projects including poultry and ...