Skip to main content

Posts

Showing posts from November 28, 2016

RAIS IDRISS DEBY WA CHAD AONDOKA NCHINI

Mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika, (AU), Rais Idriss Deby wa Chad, akipunga mkonowakati akisindikizwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo ambapo ameondoka nchini baada ya ziara yake yakikazi. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

UJUMBE KUTOKA CHAMA CHA CPC CHA CHINA WATUA NCHINI KUJIFUNZA KAZI ZA CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida (kushoto), akimkabidhi Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano ya Kimataifa, Maendeleo na Mafunzo wa Chuo cha Viongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China, Jia Bo, Dar es Salaam leo asubuhi, ambaye yupo nchini na wajumbe wenzake sita kwa zaiara ya siku saba ya kichama kukitembelea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkutano ukiendelea. Wajumbe hao wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida. Makada wa CCM wakijumuika na wajumbe wenzao kutoka china. Mratibu wa Masuala ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Pindi Chana (kushoto), akizungumza na wajumbe hao. Madabida akiwakaribisha wajumbe hao. Karibuni wajumbe kutoka China. Na Dotto Mwaibale UJUMBE wa watu sita kutoka Chama cha Kikomunisti c...

The Indian caste where prostitution is hereditary

FEATURES   INDIA For girls and women from the Perna caste, entering the sex trade is a normal next step after marriage and childbirth. Perna caste belongs to Denotified and Nomadic Tribes of India, who were classified as Criminal Tribes by British colonialists [Showkat Shafi/Al Jazeera] New Delhi, India - When Sita* comes home in the morning, her husband is usually still asleep. She has worked through the night, selling sex on the highways tracing Delhi's periphery, but she will bathe, cook breakfast, and get the children ready for school before getting some rest herself. Here, in a tumble-down corner of Najafgarh, a patch of urban villages stitched into the Indian capital's fraying hem, what Sita does for a living is no secret. Sita belongs to Perna caste, and among the women and girls of this acutely marginalised community, entering the sex trade is a usual next step after marriage and childbirth. "My first child died shortly after being bo...