Skip to main content

Posts

Showing posts from June 22, 2016

RIPOTI YA UNHCR YAONESHA UWAPO WA WAKIMBIZI MARADUFU KATIKA HISTORIA YA BINADAMU

TAARIFA ya hali ya wakimbizi duniani kufikia mwaka 2015 inaonesha kwamba watu milioni 65.3 wanaishi kikimbizi ikilinganishwa na watu milioni 59.5 kwa mwaka 2014. Ongezeko hilo la watu milioni 5.8 katika kipindi cha miezi kumi na mbili kimelezwa kuwa ni la kiwango cha juu tangu kuanzishwakwa Umoja wa Mataifa. Katika taarifa yake kuadhimisha siku ya wakimbizi duniani (Global Trends) Shirika la Kuhudumia wakimbizi (UNHCR) limesema dunia kwa sasa inakabiliwa na kundi kubwa la watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao kwa sababu mbalimbali ikiwamo migogoro ya kivita, ubaguzi na uvunjaji wa haki za binadamu. “Takwimu zilizopo leo hii, aina ya migogoro iliyopo na ugumu wake kumesababisha kuwapo na wimbi kubwa la wakimbizi tangu kuanzishwa tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa; watu milioni 60 wameondolewa katika makazi yao duniani hapa. Kila siku janga la wakimbizi linatangazwa katika vyombo vya habari ; watoto, wanawake na wanaume wakipoteza maisha yao katika jaribio la ...

HOW INTERNET CONNECTIVITY, YOUTUBE AND AMATEUR FOOTAGE IS CHANGING INTERNATIONAL JOURNALISM

By Caroline Lees Internet connectivity, YouTube and amateur footage from citizen journalists have helped to create a new form of journalism that has enhanced international reporting, especially of the current conflict in Syria, according to Lindsey Hilsum, International Editor for Channel 4 News. However technology can never replace a journalists' primary role as an eyewitness, Hilsum said. Connectivity has had a particularly significant impact: reshaping global communications and transcending national boundaries. “The world is being remapped in terms of connections,” Hilsum told an audience at the Reuters Institute for the Study of Journalism at the University of Oxford last week. Quoting Parag Khanna, author of Connectography, Mapping the Future of Global Civilisation, she said there are less than 500,000 kilometres of borders across the world, but more than one million kilometres of internet cables. More efficient international connectivity means that jou...

Bonded labourers, sex workers, forced beggars: India leads world in slavery

Faizan Haider, Hindustan Times, New Delhi |  The Gallup survey was conducted across 15 states and covered nearly 80% of India’s population, the foundation said. (HT File Photo) India has the largest population of modern slaves in the world with more than 18 million people trapped as bonded labourers, forced beggars, sex workers and child soldiers, a global survey report said on Monday. The Global Slavery Index by human rights organisation Walk Free Foundation said the number was 1.4% of India’s population, the fourth highest among 167 countries with the largest proportion of slaves. “Existing research suggests all forms of modern slavery continue to exist in India, including inter-generational bonded labour, forced child labour, commercial sexual exploitation, forced begging, forced recruitment into non-state armed groups and forced marriage,” said Grace Forrest, co-founder of the Australia-based foundation. The survey said an estimated 45.8 million peop...

MAGAZETINI LEO JUMATANO