Wakazi wa mtaa wa Lipinyapinya katika Kijiji cha Peramiho B, wilayani Songea (V), mkoani Ruvuma ambao pia ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Mapinduzi wanaosoma darasa la tano na nne wakifukua matundapori aina ya masuku baada ya kuyavundika kwa siku 3 ardhini tayari kwa kula jana mchana. (Picha na Friday Simbaya) Kushoto ni walimu waagwa wa Shule ya Msingi Peramiho wilayani Songea vijijini, mkoani Ruvuma, Bernadetha Mhonyo,Fadina Kumbuli, Malaika Millinga na Isidora Ndunguru wakifurahia burudani ya muziki wakati wa hafla fupi ya kuwaaga walimu wanne (4) waliostaafu na kubabilisha vituo vyao vya kazi iliofanyika shuleni hapo jana. Walimu wanaostaafu ni wawili na wanaobadilisha vituo vya kazi pia ni wawili (picha na Friday Simbaya)
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.