Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt Angeline Lutambi akihutubia mamia ya wananchi wa Wilaya ya Ikungi waliojitokeza katika hafla ya uzinduzi wa Mashindano ya Mpira wa miguu ya “IKUNGI ELIMU CUP 2017” Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt Angeline Lutambi akihutubia mamia ya wananchi wa Wilaya ya Ikungi waliojitokeza katika hafla ya uzinduzi wa Mashindano ya Mpira wa miguu ya “IKUNGI ELIMU CUP 2017” Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akisoma taarifa ya “IKUNGI ELIMU CUP 2017” mbele ya Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt Angeline Lutambi wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mpira wa Miguu. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akibeba tofali lililofyatuliwa na Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt Angeline Lutambi wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mpira wa Miguu ya “IKUNGI ELIMU CUP 2017” Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida Ndg Jimson Mhagama aki...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.