Skip to main content

Posts

Showing posts from November 17, 2015

Nuts During Pregnancy

Question: "My husband is extremely allergic to nuts. He could die if he ingested them and has severe reactions if they even touch his skin. Our concern is that our baby might inherit the same allergy. Should I be careful and not eat nuts during my pregnancy?" With your husband having such a serious allergy, it’s no wonder you’re concerned your baby could inherit it. While there’s no evidence that a specific allergy (say, to peanuts or milk or shellfish) can be passed directly from parent to child, it is true that the tendency to develop allergies has a pretty strong genetic component. Studies have found that when one parent has allergies like hay fever or allergic asthma, his or her children also have allergies about 50 percent of the time (again, not necessarily the same ones). If both parents suffer from allergies, that number rises to 75 percent. So does that mean you have to abstain from nuts during your pregnancy? What about peanuts, which are techni...

SERIKALI YAIPONGEZA TAASISI YA DORIS MOLLEL FOUNDATION KUSAIDIA WATOTO NJITI!

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki akizungumza mbele ya wanahabari, madaktari na baadhi ya akina mama waliokuwa na watoto waliozaliwa kabla ya wakati maarufu kama Njiti (Hawapo pichani). Kushoto ni DoriS Mollel ambaye ni Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation (DMF) na wengine ni maafisa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog ). Na Andrew Chale, Modewjiblog [DAR ES SALAAM] Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongeza juhudi binafsi zinazofanywa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation (DMF) katika harakati zake za kusaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na mambo ya elimu hapa nchini huku ikiahidi kuendelea kushirikiana nayo kufikia malengp yake. Kauli hiyo imetolewa mapema leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki wakati wa kupokea vifaa maalum vya kusaidia watoto njiti vilivyotolewa na taasisi hiyo ya Doris Mollel Foundation tukio lililofanyika k...

ROTARY YA DAR ES SALAAM OYSTERBAY WATOA MATIBABU YA BURE KWA WAKAZI WA KEREGE

Rais wa klabu ya Rotary Dar es Salaam Oyster Bay kwa mwaka huu wa 2015-2016, Mohamed Versi akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) katika mji wa Kerege jana Novemba 15. wakati wa zoezi hilo la kambi ya bure ya upimaji wa afya. (Picha zote na Andrew Chale ). Na Andrew Chale, Modewjiblog [BAGAMOYO] Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oyster Bay, kwa mara nyingine tena imeendesha matibabu katika kambi maalum ya matibabu ya bure katika mji wa Kerege uliopo Bagamoyo, Mkoani Pwani. Kambi hiyo iliyofanyika siku ya Jumapil Novemba 15.2015 ambapo zaidi ya wahudumu 50 wa Afya walipima na kutibu magonjwa kwa wakazi hao wa Kerege waliojitokeza kwa wingi wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 700. Kambi hiyo ya matibabu bure imedhaminiwa na benki ya Diamond Trust Bank (DTB) imeweza kuwa faraja kubwa kwa wananchi na wakazi wa Kerege kupata Huduma hiyo kwani imeweza kuwafikia muda muafaka kwao kupata fursa za matibabu na vipimo bure. Akizungumza na wanahabari Rais wa klab...