Skip to main content

Posts

Showing posts from May 11, 2016

YANGA YAFIKISHA POINTI 71 TASLIMU, BAADA YAKUIUA MBEYA CITY 2-0 SOKOINE

Mbuyi Twite akitolewa nje  baada ya kuumia Mashabiki wa Yanga Sc wakishangilia ngoli ya Vincent Bossou Golikipa wa Mbeya City Juma Kaseja akipapangua goli, Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari cha Yanga na Msemaji wa klabu hiyo, Yanga Jerry Muro akiongea wanahabari baada ya mechi kati ya Yanga Vs Mbeya FC kumalizika ambapo Dar Young Africans iliibuka mshindi wa magoli mawili kwa bila. Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari cha Yanga na Msemaji wa klabu hiyo, Yanga Jerry Muro (kulia) akiwa na Meneja wa Simbayablog  Friday Simbaya. Amissi Tambwe amefunga boa lake la 21 leo, akimfunga kipa mkongwe nchini Juma Kaseja. Tambwe raia wa Burundi amefunga bao hilo likiwa ni la pili kwa Yanga katika mechi ambayo wameshinda kwa mabai 2-0 dhidi ya Mbeya City. Bao lake hilo la 21 msimu huu ni gumzo, sasa anamuacha mshambuliaji Mganda wa Simba, Amissi Kiiza kwa mabao mawili kwa kuwa ana 19. Tambwe amefunga bao hilo akiwa umbali wa takriba...