Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Ushindani (FCC), Allan Mlulla akitoka hotuba yake jana wakati semina ya kuelimisha wadau kuhusu masuala ya ushindani, kumlinda mlaji na mapambano dhidi ya bidhaa bandia. Katibu Tawala Mkoa wa Iringa (RAS), Wamoja Ayubu akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa semina ya kuelimisha wadau kuhusu masuala ya ushindani, kumlinda mlaji na mapambano dhidi ya bidhaa bandia jana. Washiriki wa semina ya kuelimisha wadau kuhusu masuala ya ushindani, kumlinda mlaji na mapambano dhidi ya bidhaa bandia kwa kufuatilia kwa makini mada zillizokuwa zinatolewa. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA WA SIMBAYABLOG) Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Ushindani (FCC), Allan Mlulla amesema vita dhidi ya bidhaa bandia ni vita dhidiya watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha, dhidi ya wahalifu ambao hawatakubali kirahisi kuachana na biashara hiyo. Mlulla alisema hayo jana wakati...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.