Skip to main content

Posts

Showing posts from January 5, 2016

MAGAZETINI LEO JUMATANO

WANASIASA WAKWAMISHA SHUGHULI ZA URAGHABISHI WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI

Mchungaji wa kanisa la Umoja wa Makanisa ya Ubatizo Lucas Machibya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu baadhi ya shughuli za uraghabishi katika kijiji cha Pandagichiza  Na Krantz  Mwantepele ,Shinyanga  Si mara nyingi viongozi wa kidini hujihusisha  moja kwa moja na harakati za kisiasa ila wamekuwa mstari wa mbele kukemea  matendo yanayofanywa na wanasiasa. Hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya ila kutokana  na nafasi yao katika jamii, hususani kuwaongoza waumini wao kwenda mbinguni.  Hata hivyo, hii haimaanishi hakuna  kabisa viongozi wa dini waioamua kujiingiza katika harakati za siasa ili kuleta  maendeleo ya watu kwa haraka na ufanisi. Mchungaji Lucas Machibya ni mmoja kati  ya viongozi wachache wa dini wanaoingia katika siasa.  Huyu ni mchungaji wa kanisa la Umoja  wa Makanisa ya Ubatizo lililopo katika kijiji  cha Pandagichiza chenye wakazi wanaokadiriwa 2,481, idadi k...