Skip to main content

Posts

Showing posts from May 28, 2018

PARENTS AND GUARDIANS URGED TO BUY SANITARY TOWELS FOR GIRLS

IRINGA: Iringa region government in collaboration other stakeholders aims at empowering girls to fulfill their dreams in their lives by coping with various challenges that hinder them from attending school during menstrual period. Speaking during the menstrual hygiene day celebration yesterday, Iringa regional commissioner Amina Masenza said that the government in partnership with stakeholders will make sure that they overcome some of the challenge female students from both primary and secondary schools facing during menstrual periods. The 'Menstrual Hygiene Day 2018' event fall on May 28 and the event associate panel discussion on menstruation and the taboo around it. Masenza stated that the government is committed to ensuring that free education is available to all sexes, so that the issue of safe menstrual cycles for girls is a key element in the family, community, and even the educational institutions to provide education that will enable them to b...

IRINGA KUKABILIANANA CHANGAMOTO ZA MTOTO WA KIKE KATIKA HEDHI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akizungumza na wanafunzi wa Shule mbalimbali katika Manispaa ya Iringa wakati wa maadhimisho ya siku ya hedhi duniani yaliyofanyika mkoani Iringa jana. Julia kwake ni mganga mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Robert Salim na kushoto kwake ni mkurugenzi wa shirika la Afya Plus Suzan Yumbe. (Picha na Friday Simbaya) Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza (mwenye hijab ya jano na miwani) akicheza muziki na wanafunzi wakati wa maadhimisho ya siku ya hedhi duniani waliofanyika mkoani Iringa jana. (Picha Friday Simbaya) SERIKALI mkoa wa Iringa umelenga kuwawezesha wasichana kutimiza ndoto za maisha yao kwa kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowafanya wabaki nyuma katika kuhudhuria masomo kipindi wakiwa katika hedhi. Hayo yamezungumzwa na mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza wakati wa kuelekea maadhimisho ya Siku ya Hedhi Duniani ambapo kimkoa yalifanyika kwa mara ya kwanza jana katika Bustani za Manispaa na kuhudhuriwa na wanafunz...