Skip to main content

Posts

Showing posts from September 5, 2010

HII SI MBAGALA MBALI NI KIHESA

Watoto wadogo wanaokota vitu mbalimabali katika jala maeneo ya Kihesa Manispaa ya Iringa--jambo ambalo ni hatari kiafya kwao. Taka nyingi mijini uwachwa bila kuzolewa na wahusika katika maeneo mbalimbali kutokana ukosefu pengine ya vifaa .

A MOTORBIKE RAIDER ESCAPES DEATH

Mwendesha pikipiki Festo John Mangulla anunsurika kufa jana bada ya kugongana na daladala katika ajali iliyotokea maeneo ya Ipogoro Manispaa ya Iringa, ambapo alivunjika mfupa wa panja la kushoto na kuumia sehemu za usoni na kulazwa katika wodi ya majeruhi wanaume katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa. By Friday Simbaya, Iringa A MOTOR cyclist has escaped death after he was hit by a commuter bus (daladala) on Saturday near Pili Mohamed at Ipogoro area in Iringa Municipality and is being admitted at Iringa Regional Hospital, it has been learnt. Festo John Mangulla (48), a resident of Kitwiru suburban in Iringa Municipal Council was hit by a daladala that pirate through Mkimbizi- Gagriero route near T-junction of Gagriero and sustained serious injuries on his face and had fractured left thigh bone. The injured motorist told ‘The Guardian’ yesterday that he was coming from work at Tumaini University-Iringa College, where he works as a general worker when met the fatal accident. ...

DARASA LA SABA KUFANYA MITHANI KESHO

Na Godfrey Mushi, Iringa. IDADI ya watahiniwa wa darasa la saba watakaoanza kufanya mitihani ya Taifa ya kuhitimu elimu ya msingi kesho (Sept 6-7) katika Mkoa wa Iringa imeshuka tofauti na mwaka 2009. Mwaka huu kuna upungufu wa wanafunzi 6,740 ukilinganisha na watahiniwa 51,433 waliofanya mtihani huo mwaka uliopita ambao kati yao wasichana walikuwa 26,879 na wavulana 24,534. Wakati kwa mwaka huu, mkoa wa Iringa unatarajia kuwa na watahiniwa 44,693 ambapo kati yao wasichana ni 23,438 na wavulana 21,255. Afisa Elimu wa mkoa wa Iringa, Salum Maduhu aliiambia Nipashe juzi kuwa upungufu huo wa wanafunzi umesababishwa na shule nyingi kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza wakiwa na umri wa kati ya miaka sita na saba tofauti na miaka ya nyuma . “Upungufu huu unatokana na Halmashauri zote mkoani hapa, kuandikisha wananfunzi wa darasa la kwanza wakiwa na umri wa kwenda shule ambao ni kati ya miaka sita na saba tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyumba ambapo waliandikishwa hadi w...