Na Friday Simbaya, Songea Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma katika Idara ya Elimu ya Msingi ina jumla ya wanafunzi 3770 wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu (K.K.K.), imefahamika. Hayo yalibainika wakati wa mkutano wa kutathmini elimu na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi na daras la nne mwaka 2013 uliofanyika hapa Peramiho hivi karibuni . Akisoma taarifa yake ya utekelezaji kwa wadau wa elimu mbalimbali waliohudhuria kikao hicho cha siku moja, Afisa Elimu Taaluma, Wilaya ya Songea, Vincent Chimoto alisema kuwa wapo wanafunzi wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu katika shule za msingi mwaka 2013 wapatao 3770 darasa la I-VII. Afisa huyo wa elimu taaluma pia aliwaagiza walimu kuchukuwa jitihada za makusudi kwa kutenga muda wa ziada na kuwa na ratiba ya kuwafundisha wanafunzi hao ili wajue stadi za K.K.K. Aidha, alisema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Songea inazo jumla ya shule za msingi 96, kati ya hizo shule zenye darasa la sa...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.