Na Joseph Oima, Nakuru Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Marcel Kaheza kwa mara ya kwanza ameanza mazoezi na timu yake hiyo. Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wameanza mazoezi mjini hapa. Kaheza amejiunga na Simba akitokea Majimaji FC ya Songea ambayo alijiunga nayo akitokea Simba akiwa mmoja wa wachezaji makinda. Simba wako hapa kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup na wataanza kazi Jumatatu kwa kuwavaa Sharks. Simba wamewasili hapa jana wakiwa ndiyo timu ya kwanza ya Tanzania kutua Kenya kwa ajili ya michuano hiyo. Mwaka jana ilifanyika Tanzania na Gor Mahia wakaibuka mabingwa huku timu za Kenya zikikutana katika fainali.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.