BAADHI ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa mjini Iringa katika Jimbo la Iringa Mjini, kesho wameahidi kuanza kurudisha kadi za chama hicho katika ofisi za matwi yao ikiwa ni matokeo ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho kumuengua katika kinyang’anyiro cha ubunge, Fredrick Mwakalebela aliyeshinda kura za maoni za chama hicho katika jimbo la Iringa Mjini. Katika kura hizo, Mwakalebela alimshinda kwa kura 3, 897 na mpinzani wake wa karibu Bi.Monica Mbega aliyepata kura 2,989. NEC imemuengua Mwakalebela katika mbio hizo za kuusaka ubunge katika jimbo hilo kumeelezwa kuhusishwa na kashfa ya rushwa inayomkabili. Baada ya kupata taarifa za kuwepo kwa baadhi ya wanachama walioapa kurudisha kadi za chama hicho na kumuunga mkono mgombea wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), mwandishi wa habari hii jana alitembelea baadhi ya matawi ya chama hicho mjini hapa na kushuhudia makundi ya wanaCCM wakijipanga na kuendelea kuwashawishi wenzao kesho kuziru...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.