Skip to main content

Posts

Showing posts from December 9, 2014

MAGAZETI LEO JUMATANO

MAGAZETI LEO JUMANNE

Chadema:CCM yatumia mbinu chafu

Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Simanjiro,Ambrose Ndege. Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Simanjiro, Ambrose Ndege, amedai kuwapo mbinu chafu zinazofanywa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwawekea pingamizi wagombea wa chama chake wa nafasi za wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.

THE 53 YRS OF INDEPENDENCE DAY, RUCU ARE DISCUSSING CONSTITUTION AND DEMOCRACY...!

THE Deputy Vice Chancellor Academics (DVCA) of Ruaha Catholics University (RUCU) Prof. G. Mpangala presenting his paper on the constitution and building democracy in 53 years of independence of Tanzania.

HUYU NDIYE MTUNZI WA TAIFA WA TZ

Enock Sontonga  JE, unamfahamu mtu aliyetunga sauti (melody ) ya wimbo ambao leo Watanzania wanauita Wimbo wa Taifa?