Skip to main content

Posts

Showing posts from February 8, 2017

MFUMUKO WA BEI WA MWEZI JANUARI 2017 UMEONGEZEKA KWA ASILIMIA 0.8

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa kuhusu mfumuko wa bei wa mwezi Januari 2017 jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Idara ya Takwimu za Ajira na Bei, Ruth Minja. Waandishi wa habari wakichukua taarifa hiyo. Wanahabari wakiwa kazini. Mkutano na wanahabari ukiendelea. Na Dotto Mwaibale MFUMUKO wa Bei wa mwezi Januari 2017 unaopimwa kwa kipimo cha mwezi umeongezeka kwa asilimia 0.8 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 0.7 ilivyokuwa mwezi Desemba 2016. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakati akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. "Fahirisi za bei zimeongezeka hadi 105.92 mwezi Januari 2017 kutoka 1-05.04 mwezi Desemba 2016" alisema Kwesigabo. Alisema kuongeza kwa fahirisi ...

RAS URGES SCHOOL COMMITTES TO BE VIGILANT ON SCHOOL DEVELOPMENT PROJECTS

By Friday Simbaya, Mufindi Regional Administrative Secretary (RAS), Wamoja Ayubu says development of any nation depends largely on the quality of education of its people. She said demand for better education provision and management need immediate responsibility from the national, regional, local councils and village government / local level. RAS made the statement yesterday when officially closing training to the school committee members which was held regionally at Makungu Ward in Mufindi district, Iringa region. The capacity building training for members of school committees of the government primary schools started on 13.01.2017 in Iringa Region and yesterday ended on 02/07/2017. RAS urged the committee members to fully manage all operations of the development of primary schools in the respective areas. She said that the school committee is a tool of management, operation and administration of the school which manages all activi...