Skip to main content

Posts

Showing posts from October 27, 2014

MAGAZETI JUMANNE

MAPITIO YA MAGAZETI JIONI YA LEO

. . .

WANACHADEMA WAANZA KUJITOKEZA KUGOMBEA UONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

Frank Nyalusi Mwenyekiti wa ccm Wilaya ya Iringa akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano Wananchi wakifuatilia mkutano kwa umakini. Na Mathias Canal, Iringa Diwani wa Kata ya Mivinjeni Frank Nyalusi (CHADEMA) amehamasisha wakazi wa kijiji cha Ifunda,Kata ya Ifunda, Wilaya ya Iringa, Mkoani Iringa, kujiandikisha katika daftari la mkazi ili waweze kupiga kura pasipo matatizo yoyote.

CCM IRINGA KWAJIPANGA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Katibu CCM Wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu Katibu CCM Wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu kulia, akiwa na Mstahiki Meya Amani Mwamwindi (kushoto) na  katikati ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa Mjini Abed Kiponza. Na Mathias Canal Chama cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini kimenufaika kisiasa baada ya juzi kupata wanachama wapya 110.

WAZIRI MKUU PINDA ASEMA: KASHFA YA ESCROW IMEITIA DOA SERIKALI

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Na Elias Msuya, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imetiwa doa na kashfa ya IPTL ambapo zaidi ya Sh bilioni 200 zinadaiwa kuchotwa kwenye akaunti maalumu ya ‘Tegeta Escrow’, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Senzo is no more...!

  Kelly Khumalo's younger sister, Zandi being comforted by a family member at the singer's Vooslorus home. Senzo Meyiwa was shot at the East Rand house on Sunday evening.Image by: SIPHIWE SIBEKO / REUTERS National police commissioner Rhia Phiyega held a media briefing in Johannesburg today where she explained the circumstances behind Meyiwa's death. According to Phiyega, Meyiwa was moving towards the door when he was shot by burglars. Phiyega said Meyiwa was not necessarily trying to protect anyone but was shot in a scuffle which saw him take a bullet to the back. The bullet exited through his chest and he was declared dead on arrival at Botshelong Hospital.

MKUTANO CCM HUKO KIBANDA MAITI ZANZIBAR

POSTED BY EDWARD MICHAEL  ON 9:22 PM |  NO COMMENTS MKUTANO  WA  CCM  HUKO  KIBANDA  MAITI  AMBAO  ULIFANYIKA  JANA.   

UKAWA MAKUBALIANA KUSHIRIKIANA

KATIKA mkutano huo vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) viliingia makubaliano ya ushirikiano.