Skip to main content

Posts

Showing posts from November 15, 2010

ANIMAL CRUELTY PENALTY INTRODUCES

A lady is carrying a chicken like no body else before, like a baby while snoozing   in the bus she was travelling in yesterday going to Songea in Ruvuma from Njombe in Iringa Region. She was implementing well the ‘Animal Welfare Act of 2008’. The government has introduced an instant penalty ranging from 20,000/- to 100,000/- against any person found inflicting pain, injury or other acts of cruelty to animals recently. (Photo. Friday Simbaya)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete afanye maamuzi magumu na mazito katika uteuzi wa waziri mkuu wa serikali ya Tanzania kwa kipindi chake cha mwisho cha urais kwa mujibu wa katiba ya CCM. Kama ilivyofanyika maamuzi magumu ya kumuondoa spika wa bunge lililopita Mh. Samuel Sitta na hatimaye Mh. Anna Makinda kuwa spika wa kwanza mwanamke katika historia ya Tanzania. Huu ulikuwa uamuzi mgumu na mzito kwa chama cha mapinduzi na mwenyekiti wake ambae pia ndiye rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kabla sijazungumzia ni kwanini mh. Kikwete afanye maamuzi mazito na magumu, nichukue nafasi hii kuwapongeza kipekee baadhi ya watanzania kwa nafasi zao: 1. kipekee nimpongeze mh. Anna Makinda kwa kuchaguliwa kwake kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kipindi cha 2010 – 2015. hongera sana. Nina uhakika hatawaangusha wanawake wa Tanzania kama sio Afrika nzima. Mh. Makinda amechaguliwa kuwa spika katika kipindi kigumu sana kwa mstakabali wa uhai wa taifa letu, kuna mawazo ambayo huami...