Skip to main content

Posts

Showing posts from June 4, 2018

MARIA AND CONSOLATA TO BE BURIED TOMORROW

Internal Medicine – Physician Dr. Faith Kundy of Iringa regional Referral Hospital. Mwandishi wa habari wa gazeti la guardian mkoani Iringa Friday Simbaya (mbele) akiwa katika picha ya pamoja na walezi na ndugu wa marehemu mapacha walioungana Maria na Consolata muda mfupi baada ya mahojiano kuhusu utaratibu wa mazishi halo jumatano katika makaburi masista Tosamaganga wilayani Iringa, mkoani Iringa jana. Kutoka kushoto waliosimama nyuma ni mkuu wa masista wa Consolata Tanzania Sr. Jane Nugi, kaka mkubwa wa marehemu mapacha David Mwakikuti na Sr. Paskalina Mkolomi. (Picha na Mwandishi wetu). Iringa District Commissioner Richard Kasesela By Friday Simbaya, Iringa  Tanzanian conjoined twins Maria and Consolata Mwakikuti who died at the age 21 on Saturday after suffering respiratory complications at Iringa Regional Referral hospital to be put to rest on Wednesday this week, it has been confirmed.  The two girls, who were joined fr...

WASICHANA 76 CAMFED WAJIUNGA NA ELIMU YA JUU

Shirika la kuwasaidia watoto wa kike-CAMFED TANZANIA, wilaya ya Iringa limesaidia wasichana 76 kujiunga na elimu ya juu katika vyuo mbalimbali nchini katika kipindi cha mwaka 2017/2018. Shirika la Camfed linasaidia wasichana kuanzia kidato cha kwanza hadi kidado cha sita na hatimaye kujiunga elimu ya juu kwa wasichana wanaotoka katika familia duni kwa lengo la kuwakwamua na umasikini.  Mratibu wa miradi ya Camfed Wilaya ya iringa, Abia Mwisaka alisema hayo wakati ya kongamano la wasichana wanaosoma katika vyuo mbalimbali lililoandaliwa na shirika hilo mkoani Iringa jana.  Alisema kuwa wasichana hao walisaidiwa na shirika hilo kuendelea na elimu ya juu katika vyuo mbalimbali vilivyopo mikoa ya Sumbawanga, Njombe na Iringa.  Mwisaka alisema kuwa lengo la kongamano hilo lilikuwa kwa ajili kuangalia changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wasichana walioko vyuoni ili kuona namna gani wanaweza kuepukana nazo.  Alisema kuwa katika kongamano...

76 CAMFED GIRLS JOIN HIGHER LEARNING INSTITUTIONS IN IRINGA LAST YEAR

By Friday Simbaya, Iringa  The CAMFED TANZANIA in Iringa district has helped 76 girls join higher learning education at various universities in the 2017/2018 year.  The Campaign for Female Education (CAMFED) helps girls from form one to form six and eventually join higher learning education for girls from poor families with the aim of eliminating them from poverty.  CAMFED Iringa District Coordinator, Abia Mwisaka said this during a conference of girls dubbed as ‘Tertiary Girls’ Forum’ studying at various universities organized by the organization in Iringa yesterday.  She said the girls were helped by the organization to continue with higher education at various universities in Sumbawanga, Njombe and Iringa regions.  Mwisaka said the purpose of the meeting was to look at the various challenges facing the girls in the colleges and universities to see how they could avoid them.  She said that at the conference she a...