Skip to main content

Posts

Showing posts from October 30, 2014

MAGAZETI IJUMAA

SIMBA Coach Patrick Phiri: I have received the death my President with a great shock

Mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba SC ya Dar es Salaam wakiizunguka basi la timu ya Simba ililobeba wachezaji wa timu, ambao walikuwemo Okwi baada ya kumalizika kwa mechi ya kirafiki. Katika mchezo huo Simba ya iliibuka na ushindi wa goli 1-0 jana. Timu hiyo ipo mkoani Iringa ikiendelea na maandalizi ya mechi ya dhidi ya Mtibwa Sugar mkoani Morogoro Jumamosi hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) By Friday Simbaya, Iringa SIMBA Coach, Patrick Phiri said he has received the death of President  Michael Chilufya Sata with a great shock and at the moment the nation  is at the big lose. Phiri said that when he left Zambia the president was in a good health  and adding that his nation has lost a good man.

Bunge la Burkina Faso lachomwa

Rais Blaise Campaore Burkina Faso Wabunge wamelazimika kuahirisha kura hiyo ya kubadilisha katiba kumkubalia Compaore kuwania tena Urais mwaka ujao.

MZEE MANENTO WA BONGO MOVIE AMEAGA DUNIA

Wiki moja  baada ya kutokea kwa msiba wa mmoja wa wasanii wa TMK Wanaume Family   YP   na saa chache baadaye ukatokea msiba mwingine wa aliyekuwa msanii wa maigizo na vichekesho   Sherry Mwana , leo Oktoba 30 umetokea msiba mwingine Bongo Movie. Taarifa za awali zimeanza kusambaa kupitia watu mbalimbali maarufu Tanzania ambao wameaanza kuonyesha masikito yao akiwemo msanii Bob Junior kuhusu kifo cha mzee Manento ambaye inadaiwa amefariki jana usiku.

PHIRI ATAMBA KUSHINDA JUMAMOSI

Rais wa timu ya Lipuli Jesca Msavatavangu (mwenye kapelo) akisalimia  na kikosi cha Lipuli kabla ya kuanza kwa mechi ya kirafiki dhidi ya  Simba SC ya Dar es Salaam jana katika uwanja wa samora mjini Iringa,  ambapo Simba ilishinda goli 1 kwa nunge. (Picha na Friday Simbaya) Na Friday Simbaya, Iringa Timu  ya Simba ambayo inajiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara  dhidi ya Mtibwa Suger ya Mkoani Morogoro,  siku ya Jumamosi  imeonja  ladha ya ushindi  baada ya kuifunga timu ya Lipuli (Wanapaluhengo)  ya  mkoani Iringa ambayo ipo kwenye maandalizi ya mechi ya ligi daraja la  kwanza dhidi ya Kimondo Fc ya Mkoani Mbeya.

Housewife serves husband cooked condoms

A housewife and mother of three in Kole District prepared for her husband condoms as meal following repeated domestic fights