Skip to main content

Posts

Showing posts from January 18, 2018

AMKA NA MAGAZETI LEO NA TUMBUSI BLOG

SIDO YATOA MKOPO WA KILIMO KWA KIKUNDI CHA UPENDO WILAYANI KILOLO

Ofisa Biashara wa Sido Niko Mahinya Ofisa Mikopo wa SIDO Mkoa wa Iringa Neserian Laizer KILOLO: SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogovidogo (SIDO) Mkoa wa Iringa katika kuunga juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kupambana na wimbi la umasikini limekikopesha kikundi cha Upendo IR Vicoba cha Kijiji cha Mtandika kiasi cha shilingi milioni kumi na tatu na laki tatu (13.3m/-) kwa ajili ya kuweza kuwasaidia kuendesha shughuli za kilimo.  Akizungumza na viongozi na wajumbe wa kikundi hicho cha wakulima kilichopo wilayani Kilolo, katika hafla fupi ya kukabidhi cheki ya fedha iliyofanyika katika Kijiji cha Mtandika, Kata ya Ruaha-Mbuyuni, Ofisa Mikopo wa SIDO Mkoa wa Iringa Neserian Laizer alisema kuwa wamekikopesha kikundi cha wakulima ili kuwainua kiuchumi na kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo.  Ofisa mikopo huyo alisema kwamba wamebaini katika maeneo mengi ya vijiji kuna fursa nyingi zilizopo katika zao la kitunguu lakini baadhi ya ...

RMO HAILS MEWATA FOR INCREASING KNOWLEDGE ON SRH&R IN SCHOOLS AND COLLEGES

THE Iringa region health sector has expressed gratitude towards youth empowerment sexual reproductive health and rights (SRH&R) in secondary schools, colleges and universities in the region also known as “KIJANA AMKA” project implemented by MEWATA. The Medical Women Association of Tanzania (MEWATA) is affiliated to the Medical Women International Association and Medical Association of Tanzania. MEWATA is comprised of Tanzania women who are medical and dental.  Iringa Regional Medical Officer, Dr Robert Salim, made the statement during the MEWATA project insemination meeting held in Iringa region yesterday. He said the project has increased access and delivery of quality of sexual and reproductive health and right information and education among youth aged 15-24, who are in secondary schools, colleges and universities. Dr Salim also said the project helped increase linkages and utilization of quality youth friendly services among youth aged 15-24 who ar...

UTATIFI

Mtatifi kutoka shirika kimataifa la Follow The Honey Inc. la Marekani, Brian Woerner (kulia) akitatifi maua ambayo yanaweza kutumiwa na nyuki kuzalisha asali kwa wingi zaidi wakati alipotembelea maeneo mbalimbali yatakayotumika katika ufugaji nyuki wilayani Kilolo mkoani Iringa kwa kushirikiana na shirika la Namaingo Business Agency la Iringa region mkoani jana. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Follow The Honey Tanzania , Kaizirage Camala akiambatana na baadhi ya viongozi wa kikundi cha ufugaji nyuki cha nguvukazi ambao ni Remmy Sanga na Mrema wilayani humo jana. (Picha na Friday Simbaya)