Skip to main content

Posts

Showing posts from April 2, 2017

MAGAZETI YA LEO JUMATATU

Good Morning mtu wa nguvu, leo ni April 3 2017. 

Viongozi Wa Dini Watakiwa Kudumisha Amani Ya Nchi

Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kiislamu ya Dhi Nureyn Islmaic Foundation, Sheikh Said Ahmed Abri akiendesha mkutano mkuu wa mwaka wa Taasisi hiyo uliojumuisha matawi yote ya Tanzania nzima uliofanyika makao makuu Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya) Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Kiislamu ya Dhi Nureyn Islamic Foundation, Sheikh Said Ahmed Abri akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Abdullah Quran pamoja na vitabu mbalimbali vya dini katika mkutano mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Dhi Nureyn Foundation uliojumuisha matawi yote ya Tanzania nzima uliofanyika makao makuu Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya) IRINGA: Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kiislamu ya Dhi Nureyn Islamic Foundation ya mjini Iringa Shams Elmi amewataka viongozi wa madhehebu ya dini kuhakikisha wanadumisha utulivu uliopo nchini kwa kuhubiri amani na upendo kwa watu wote.  Alisema viongozi wa dini wana mchango mkubwa katika jamii, hivyo wanapaswa kuilinda na kuidumisha amani iliyopo na...