HUYU ameondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anasema, chama hicho kinanuka rushwa na kwamba yeye hawezi kugombea kwenye chama ambacho kimebeba wala rushwa. Ni James Lembeli, mbunge wa Kahama mkoani Shinyanga. Akizungumza na wanachama wa CCM, wilayani Kahama, Lembeli amesema, “…nimekuja kuwaeleza, kwamba sitagombea ubunge katika jimbo hili kupitia CCM.”
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.