Skip to main content

Posts

Showing posts from June 7, 2013

MAAMUZI YA MFADHILI WA KOMBE LA ANSGAR 2013 (SOKO)

Na Friday Simbaya, Songea   Mwenyekiti wa Kamati ya waratibu wa Mashindino ya Kombe la Ansgari 2013, Emeran Ndunguru akisoma taarifa ya maamuzi yao kuhusu kufutwa kwa michezo ya mpira ya miguu kwa mshindi wa tatu na fainali leo. Mwenyekiti wa Kamati ya waratibu wa Mashindino ya Kombe la Ansgari 2013, Emeran Ndunguru (kushoto) akitoa taarifa mbele ya wajumbe wa kamati pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo. Kamati ya mashindano ya Kombe la Pasaka (Ansgar Cup) Tarafa ya Ruvuma, Wilaya Songea (V) mkoani Ruvuma hatimaye imefuta fanaili michezo ya mpira wa miguu kwa mshindi wa tatu na fanaili kwa mwaka huu kutokana na malumbano yanayoendelea  kati ya timu za Kilagano na Peramiho B, yaliyoanza wakati nusu fainali. Akiongea na waandishi wa habari leo (Alhamisi) mwenyekiti wa kamati, Emeran Ndunguru alisema,  malumbano hayo yamepelekia  kufutwa kwa fanaili hizo michezo wa mpira wa miguu ni kati ya  timu ya Kilagano na Peramiho...