Skip to main content

Posts

Showing posts from October 15, 2010

ROAD REHABILITATION IN IRINGA

The TANZAM Highway Road is under rehabilitation as it can be seen workers are busy working after the tarmac was spread by special machinery near Bhesania Garage area (Ipogolo) in Iringa Municipality on Friday. The renovation of the Highway is being undertaken the foreign Contractor called 'AARSLEFF INTERBATON'  of Denmark and Supervised by COWI-Tanzania. The rollers were compacting the tarmac has been spread by the special machinery to make it smooth and level.

PINGAMIZI LA MUNGAI LA KWAA KISIKI KWA MARA NYINGINE

PINGAMIZI la awali la kutaka kuondolewa mahakamani kesi ya kutoa hongo katika mchakato wa kura za maoni, inayomkabili aliyewahi kuwa Waziri katika serikali za awamu zote nne, Joseph Mungai (66), imeshindwa kuanza kusikilizwa baada ya upande wa mashitaka (Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa), kuomba pingamizi hilo liwasilishwe mahakamani kwa njia ya maandishi. Mungai pamoja na makada wengine wawili wa CCM, akiwemo Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Mufindi, Fidel Cholela (39) na Moses Masasi wanakabiliwa na mashtaka 15 ya kutoa rushwa kinyume na sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa ya mwaka 2007 na sheria ya gharama za uchaguzi ya mwaka 2010. Mawakili wanaomtetea Mungai,aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini (CCM), Alex Mgongolwa na Basil Mkwata, LEO walifika katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa, kuwasilisha pingamizi hilo kwa lengo la kuanza kusikilizwa. Wakiwa mbele ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo namba 5 ya mwaka 20...