Skip to main content

Posts

Showing posts from September 17, 2014

Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara kutoka Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Abdulla Makame Akiwaeleza waandishi wa Habari(hawapo pichani) Kuhusu Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi   wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Septemba 20 mwaka huu Jijini Arusha. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara hiyo Anthony Ishengoma. Picha na Hassan Silayo   Frank Mvungi- Maelezo Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi  wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki  utapokea na kuidhinisha aina mpya ya hati za kusafiria za kielektroniki, zikiwemo sampuli za hati za kusafiria za kibalozi,  za Maofisa na za kawaida.

TBS KUAJIRI WATUMISHI 200

 Frank M vungi-Maelezo Shirika la viwango Tanzania (TBS) linatarajia kuajiri watumishi 200 katika harakati za kuimarisha utendaji wa shirika hilo. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa udhibiti ubora wa shirika hilo Bi Mary Meela wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

MAENDELEO YA TEKNOHAMA KWA SASA IKILINGANISHWA NA HAPO MWANZO

  Na Benedict Liwenga, MAELEZO-DSM. TEHAMA ni moja kati ya Sekta zinazokua kwa kasi hapa nchini na duniani kote na imekuwa ikichangia kikamilifu katika maendeleo ya Taifa na pia imekuwa ikiwezesha sekta nyingine kukua na kuboresha maisha ya wananchi na huduma za jamii kwa ujumla.