Skip to main content

Posts

Showing posts from October 14, 2015

AMKA NA MAGAZETI NA SIMBAYABLOG LEO ALHAMISI!

 

What to Drink During Pregnancy

Mama, you need a drink — of water that is. That age-old advice about drinking eight glasses of water a day is never more important than when you’re expecting. For starters, your baby’s body is mostly made up of fluids (just like yours), and will need more and more as your bundle grows. And, since baby-building is hard work, you’ll need to stay hydrated. But beyond keeping your little one healthy, drinking water during pregnancy opens up a whole world of benefits for moms-to-be: It will not only help rid both your bodies (yours and your baby’s) of toxins and waste, but it will also ease your pregnancy symptoms and prevent others from cropping up. For starters, filling up on fluids can relieve constipation and reduce excessive swelling (so yes, it will help you squeeze your feet back into your favorite pair of shoes). Plus, upping your water intake will lower your risk of urinary tract infections and preterm labor. And there’s a beauty benefit too — it’s great for your skin...

MKUTANO WA CCM KATA YA MSHINDO

Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela akiomba kura kwa wananchi wa kata ya Mshindo jana wakati wa mkutano wake wa kampeni. Wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni jana. Aliyekuwa mgombea ubunge katika mchakato wa ndani ya chama Michael Mlowe akimnadi Mwakalebela. Katibu wa CCM Iringa mjini Bw Elisha Mwampashi akimnadi Mwakalebela. Mwakalebela akiomba kura kwa wananchi wa kata ya Mshindo. Mgombea udiwani wa kata ya Mshindo Ibrahim Ngwada akiomba kura kwa wananchi wa kata hiyo.

MKUTANO WA CHADEMA KATA YA MLANDEGE

Mchungaji Peter Msigwa akihutubia wananchi kata ya Mlandege katika jimbo la iringa mjini juzi. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi ambaye pia ni mgombea udiwani katika Kata ya Mivinjeni akihutubia wananchi wa Kata ya Mlandege katika Jimbo la Iringa mjini juzi. Kampeni meneja wa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini David Butinini (mwenye T-shirt ya pundamilia) akimtambulisha  mgombea wa Kata ya Mlandege Mwl. Richard Mfune katika mkutano wa hadhara uliofanyika juzi. 

A total of 526,006 people in Iringa to particpate in the General Election

Mmoja wa washiriki wa mdahalo akiuliza swali wakati wa mdahalo wa wazi ulioandaliwa na shirika la ICISO kwa kushirikiana na FSC. By Friday Simbaya, Iringa In just a few days remaining before the general election on October 25th this year, Iringa Region Elections Coordinator, Wilfred Myuyu said he has began to receive election materials. The Coordinator said this during a public debate on peace during and after the general elections to be held in October this year held at Open University (OUT) Hall in Iringa municipality yesterday. The debate was organized by the NGO Civil Society Organization Iringa (ICISO-Umbrella) in collaboration with the 'The Foundation for Civil Society (FCS).' The debate was officially opened by the acting Iringa Regional Commissioner (RC), Selemani Mzee who is also the Kilolo District on behalf of the RC Amina Masenza. Myuyu, who is also Assistant Administrative Secretary (Local Government Authority), said th...

JUMLA YA WATU 526,006 MKOANI IRINGA KUPIGAKURA UCHAGUZI MKUU

Kaimu wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Selemani Mzee (katikati) ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo akifungua mdahalo wa wazi juu ya amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu unaofanyika katika ukumbi wa chuo Kikuu Huria (OUT)mjini Iringa. Kutoka kushoto walioketi na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilolo Martin Mlwafu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Ramadhani Mungi, Mwenyekiti wa ICISO Alexander Kisinini na Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Iringa, Wilfred Myuyu. Mdahalo huo uliandaliwa na Iringa civil society organization (ICISO-Umbrella) kwa kushirikiana na Asasi ya Foundation for Civil Society (FCS) jana. (Picha na Friday Simbaya) Na Friday Simbaya, Iringa WAKATI zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika Oktoba mwaka huu, Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Iringa, Wilfred Myuyu amesema ameanza kupokea vifaa vya uchaguzi. Mratibu huyo alisema hayo wakati wa mdahalo wa wazi juu ya amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu uliofanyika katika Ukum...

DUNIA YAHIMIZWA KUWAJIBIKA KWA AJILI YA AMANI

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kushiriki katika kilele cha maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. ( Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog ). Na Mwandishi wetu JUMUIYA ya Kimataifa imetakiwa kuwajibika kuhakikisha kwamba wanaweza kuwepo na amani na usalama kwa kuwa hilo ndilo tatizo kubwa duniani. Hayo alisema Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard membe katika kilele cha maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Hafla hiyo imefanyika viwanja vya Mnazi Mmoja mapema zaidi kuliko tarehe iliyopaswa ya Oktoba 24 kutokana na Tanzania kuwa katika mchakato wa uchaguzi. Waziri Membe alisema kwamba dunia kwa sasa ipo katika changamoto kubwa ya usalama kutokana na mizozo inayoendelea katika nchi kadhaa duniani. Alisema kumekuwepo na wimbi kubwa la mapigano ndani ya nchi mbalimbali katika nchi mashariki ya...