Skip to main content

Posts

Showing posts from August 16, 2010

VIKAO VYA MAHAKAMA RUFANI

OFISI ya Mkurugenzi mkuu wa mashitaka nchini (DPP), imeiondoa rmahakamani rufaa iliyokata kwenye mahakama ya rufaa ya Tanzania, dhidi ya Philbert Mtweve aliyeomba rushwa ya sh. 15,000 kwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kennedy Rubindu. Wakili wa serikali, Vicent Tangoh, aliomba kuondoa rufaa hiyo kupitia kanuni ya 4(ii)(a) ya mwaka 2009 ya mahakama ya rufaa, mbele ya majaji watatu waliokuwa wakisikiliza rufaa hiyo, Edward Rutakangwa, Natalia Kimaro na William Mandia. "Awali tuliwasilisha taarifa ya kuondoa rufaa hii kwa kanuni ya 77(i) na tukagundua kanuni hiyo sio sahihi kuitumia kwani inaeleza kuondoa rufaa kwa msajili na sio mahakama ya rufaa, hivyo sasa tunaomba kwa kupitia kanuni ya rufaa kuondoa rufaa hii," Tangoh aliwaeleza majaji hao mahakamani hapo. Baada ya ombi hilo, Jaji Rutakangwa alishauriana na wenzake na kukubaliana na ombi hilo na kuamua kuondoa rufaa hiyo iliyokuwa imekatwa na DPP. Awali mwaka 2001, Mtweve alidaiwa na mahakama ya Wilaya ya Mbinga...

IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA AT IRINGA

THE THREE panel of Justice of Appeal have starting hearing both criminal and civil cases in the Court of Appeal of Tanzania at Iringa, it has been established. The three of judges including Edward Rutakangwa (chairman of the panelists), Natalia Kimaro and William Mandia have started hearing criminal and civil cases in the court of appeal of Tanzania at Iringa on Monday. According to the Deputy Registrar of Court of Appeal John Mgetta, the cause list of sessions will involve a total of 30 cases, that is 24 criminal and six civil cases from 16th August until 6th September, 2010 for judgments, rulings and orders respectively. However, in the court of appeal of Tanzania at Iringa three justice of appeal in the first session have heard two criminal appeals including Case No. 61/2008 involving The Director Public Prosecution (DPP) versus Philbert Mtweve involving corruption since 2002 in Songea. The Case No.61/2008 was withdrawn because both the two had never appeared in court ...