Kampeni ya uanzishaji wa viwanda kote wilayani Kilolo Mkoani Iringa imezinduliwa jana huku mwito zaidi ukielekezwa kwa umma kutoa ushirikiano kwa timu ya wataalamu katika kutekeleza mradi wa viwanda. Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalla alisema eneo lenye ukibwa wa hekta 72.3 limetengwa kwa ajili ya viwanda huku akiwataka wananchi kuchangamkia fursa hiyo. Kampeni ya uanzishaji wa viwanda kote wilayani Kilolo Mkoani Iringa imezinduliwa huku mwito zaidi ukitolewa kwa wananchi kujiunga kwenye vikundi kujisajili na kutoa ushirikiano kwa timu ya wataalamu itakayochunga mwenendo wa viwanda vidogo. Abdalla alisema eneo lenye ukibwa wa hekta 72.3 limetengwa kwa ajili ya viwanda huku akiwataka wananchi kuchangamkia fursa zikiwamo za uchakataji wa mazao ya misitu na mashambani. Hadi sasa wilaya ya Kilolo inakadiliwa kuwa na viwanda 22 , Hatua hii ya uzinduzi inajiri baada ya Mkoa wa Iringa kuzindua mwishoni mwa mwaka uliopita kwa min...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.