Mratibu elimu kata ya Nzihi Oscar Kawanganise (kushoto)akitoa vya ushiriki kwa wahojaji wakujitolea 60 Mkuu wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA) akitoa mafunzo kwa mahojaji sitini (60) wa kujitolea yaliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha afya Nzihi Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa hivi karibuni. Mafunzo hayo ya kutathmini watoto wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) pamoja na kujua hali ya lishe yalifadhiliwa na Shiriki lisilo la kiserikali la TWAWEZA. Baadhi ya mahojaji wa kujitolea wa kifuatilia mafunzo kutathmini watoto wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) pamoja na kujua hali ya lishe yalifadhiliwa na Shiriki lisilo la kiserikali la TWAWEZA, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Afya Nzihi wilaya ya Iringa, mkoani Iringa hivi karibuni. Mkuu wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA), Raphael Mtitu (katikati) akitoa mafunzo kwa mahojaji sitini (60) wa kujitolea yaliyofanyika...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.