Skip to main content

Posts

Showing posts from September 10, 2016

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI HUU LEO,SOMA HAPO KUJUA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo September 09 2016 amemteua Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Benedict Richard Ole Kuyan ambaye amestaafu. Aidha Rais Magufuli amemteua Tixon Tuliangine Nzunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa. Tixon Tuliangine Nzunda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Symthies Emmanuel Pangisa ambaye amestaafu. Tarehe ya kuapishwa kwa Makatibu Tawala wa Mikoa walioteuliwa itatangazwa baadaye. VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI WAIBUKA NA KUTISHIA MGOMO NA KAROLI VINSENT VYAMA vya wafanyakazi nchini pamoja na Asasi za kiraia nchini ambayo ipo chini ya mwamvuli wa mtandao wa watetezi wa Haki za Bindamu nchini (THRDC) Wamelitaka bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania kutopitisha mswaada wa mabadiliko ya sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii unaokwenda kuzuia fao la kujitoa, Hivyo basi wamesema endapo wabunge wakikaidi na...