Skip to main content

Posts

Showing posts from January 20, 2017

MKOA WA IRINGA ASILIMIA 18 HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Manyanya akisalimiana na wanafunzi wa shule za msingi za Mwaya na Tumaini zilizopo kata ya Nyalumbu wilayani Kilolo, mkoani Iringa wakati ya ziara ya ufuatilialiaji wa vituo vya elimu nje ya mfumo rasmi, vituo sitiri na elimu ya watu wazima juzi. (Picha na Friday Simbaya) NAIBU wa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Manyanya amesikitishwa na kiwango cha hali ya kutojua kusoma, kuandika na kuhesabu (illiteracy rate) katika Mkoa wa Iringa, ambayo ni asilimia 18. Mkoa wa Iringa una jumla ya watu 941,238 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012. Eng. Manyanya aliyasema hayo juzi wakati ya ziara yake ya ufuatilialiaji wa vituo vya elimu nje ya mfumo rasmi, vituo sitiri na elimu ya watu wazima, mkoani Iringa. Alisema kuwa takwimu hizo za kuongezeka watu wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu zinahitaji juhudi za serikali ili kufikia malengo ya kimataifa. Alisema ...

IRINGA REGION HAS 18 PERCENTAGE OF ILLITERACY RATE

NAIBU wa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Manyanya akiwadodosa wananchi wa Kijiji cha Kilaladewa katika kitonji cha Vigulu, kata ya Ibumu wilayani Kilolo, mkoani Iringa kutaka ili kujua kama anaweza kusoma na kuandika wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo juzi. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) Deputy Minister of Education, Science and Technology Eng. Stella Manyanya is disappointed with the level of people who cannot read, write and count (Illiteracy rate) in Iringa Region, which is about 18 percent. Iringa Region has a total population of 941,238 according to the Census of Population and Housing in 2012. Eng. Manyanya made the remarks yesterday during her visit to follow up the non-formal education centers, coverage centers and adult education in Iringa region. She said the figure of people who cannot read, writing and calculating is growing and require the government's efforts to achieve internati...