Ofisi ya mkuu wa mkoa wa iringa kwa kushirikiana na wizara ya maliasili na utalii, mradi wa kuboreha mtandao wa hifadhi zakusini mwa Tanzania (SPANEST) pamoja na na wadau mbalimbali imeazimia kufanya sherehe za maadhimisho ya utalii ukanda wa kusini mwa Tanzania ujulikanao kama ‘karibu Tanzania southern circuit’. sherehe za maadhimisho ya utalii ukanda wa kusini mwa Tanzania unaojumwisha mikoa ya iringa, mbeya, katavi, songwe, morogoro na ruvuma zitafanyika kabla ya tarehe 30 November mwaka 2016 ili kwenda sambamba na maadhimisho yanayofanyika duniani kote. Lengo kuu ya sherehe ya maadhisho hayo ni kukuza na kuendeleza utalii kikanda na taifa kwa ujumla. Maadhimisho ya Utalii yafanyike kwa Siku 3 kuanzia tarehe 27-29 Novemba, 2016. Tarehe hizo zimechaguliwa ili:- -Kutoa fursa ya kutosha kwa Mkoa kufanya maandalizi ya kufanikisha sherehe hizo. -Kutoa fursa kwa wadau wa Mikoa ya kusini kushiriki katika maandalizi na maonyesho haya ambayo yanafanyika kwa m...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.