Dkt. Yahaya Msigwa akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo. Frederick Mwakalebela akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo. Addo November Mwaisongwe akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo. Balozi mstaafu Augustine Philip Mahiga akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo. Jesca Msambatangu akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo. FALES KIBASA Mgombea ubunge Iringa Mjini kupitia CCM, Peter Mwanilwa WANACHAMA 13 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotaka ubunge katika jimbo la Iringa Mjini wanaendelea kujinadi kwa wanachama wa chama hicho katika matawi 81 kwa kushindanisha mikakati yao ya kulikomboa jimbo hilo na kuwaletea wananchi wake maendeleo. Kwa miaka mitano iliyopita jimbo hilo limeongozwa na Mchungaji Peter Msigwa aliyechagul...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.