Diwani wa VitiMaalum Tarafa ya Kasanga kutoka Mninga katika Kijiji cha Mkalala, Asumpta Adriano Mtende akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya) ` Na Friday Simbaya, Mufindi Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa imeanza kuboresha huduma za afya vijijini kwa kukatarabati na kujenga miundombinu muhimu katika vituo vyake mbalimbali vya afya ili kusogeza huduma hizo karibu na wananachi. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mufindi Festo Elia Mgina hivi karibuni watika wa Kikao cha Baraza la Madiwani cha mwaka, ambapo pamoja na mambo mengine kikao hicho kilipitia taarifa ya utekeleazji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2017/2018. Mkutano huo wa Baraza la Madiwani ulikuwa na agenda ya uchaguzi wa makamu mwenyekiti wa halmashauri ambapo Diwani wa Kata ya Sadani, Ashery Mtono alichaguliwa kuwa makamu mweneye...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.