Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias Andengenye (mwenye kaunda suti) akizungumza na viongozi mbalimbali wa jeshi hilo wakati wa maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pakazi nchini ambayo huadhimishwa duniani kote tarehe 28 Aprili kila mwaka, yaliofanyika mkoani Iringa. (Picha na Friday Simbaya) IRINGA: Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias Andengenye ametoa wito kwa makampuni na wenye viwanda nchini kuwaajiri wataalamu wa moto (fire protection managers) watakaobaini na kung’amua na kukinga moto katika maeneo yao. Alisema kuwa makampuni na viwanda kwa kushirikiana jeshi hilo wanatakiwa kuwaajiri wataalamu wa mambo ya moto kwa lengo la kubaini endapo moto utatokea katika maeneo ya kazi. Alisema kuwa wataalamu hao wa mambo ya moto wanatakiwa kupata mafunzo kutoka jeshi hilo ama mahali pengine kwa ajili ya kung’amua na kuzuia moto katika viwanda vyao na makampuni. Andenenye alisema ha...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.