Mwanzoni mwa Mwezi Februari Baba Mtakatifu Francisko alimteua Monsinyori Liberatus Sangu kutoka Jimbo Katoliki la Sumbawanga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Tanzania ambapo baadaye Jumapili iliyopita (tarehe 12/04/2015) aliwekwa wakfu na kusimikwa jimboni humo. HISTORIA FUPI YA SKOFU MTEULE, LIBERATUS SANGU Alizaliwa Februari 19, 1963 katika kijiji cha Mwanzye Jimbo Katoliki la Sumbawanga. Baada ya kumaliza masomo ya Falsafa katika Seminari Kuu Kibosho Jimbo Katoliki Moshi na Teolojia katika Seminari Kuu ya Segerea Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, alipewa Daraja la Upadri Julai 9, 1994.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.