Mufindi. MBUNGE wa Jimbo la Mufindi Kusini, David Kihenzile , amezindua Kituo cha Afya cha Makungu kilichojengwa kwa gharama ya Sh milioni 500 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, hatua inayotarajiwa kumaliza changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya kwa zaidi ya wananchi 17,000 wa kata hiyo na maeneo ya jirani. Kukamilika kwa mradi huo kunatajwa kuwa sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za mwanzo wa muhula wake mpya wa uongozi baada ya Uchaguzi Mkuu, ambapo Serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya afya na kusogeza huduma karibu na wananchi. Akizungumza leo Februari 23, 2026, wakati wa ziara yake ya siku nne jimboni humo, Mbunge Kihenzile ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi, alisema ujenzi wa kituo hicho ni mkombozi mkubwa kwa wakazi wa Makungu, Mgololo na maeneo ya jirani waliokuwa wakilazimika kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya, hususan huduma za mama na mtoto. Alisema kipindi cha mvua wananchi wa ukanda wa Mgolol...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.