Skip to main content

Posts

Showing posts from June 6, 2011

SHEREHE ZA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKA ASKOFU- MBINGA

Kutoka kushoto kwenda kulia ni Mmliki wa Blog hii Friday Simbaya, Anold na Mpigapicha wa Rais Fred Maro muda mfupi kabla ya kuanza kwa Misa Takatifu ya kuwekwa na kusimika Askofu Mpya wa Jimbo la Mbinga, John Ndimbo katika Kanisa la Mt. kiliani. Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maaskofu baada ya kumalizika kwa Misa ya kusimika Askofu wa Mbinga. Kulia kwake ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kardinali Polycarp Pengo na kushoto kwake ni Askofu Mteule John Chrysostom Ndimbo.   Rais Kikwete  wanne kutoka kulia akiwa Kanisa la Mt. Kiliani la Mbinga Jumapili wakati ya sherehe ya kuwekwa na kusimikwa Askofu wa Mbinga.    Waamini mbalimbali wakifuatilia Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu na kusimika Askofu wa Mbinga katika Kanisa la Mt. Kiliani lililojaa pomoli hadi waamini wengine walikaa nje wakifuatilia misa kupitia Tv. Waamini wakifuatilia Misa katika viwanja vya Emmanuel Square nje ya Kanisa kutokana na kukosa nafasi nd...

DEDICATION OF NEW BISHOP OF MBINGA

By Friday Simbaya, Mbinga PRESIDENT Jakaya Kikwete has urged religious institutions in the country to provide more in vocational training centers so that more youths can get vocational skills and become self-reliance, hence increase self employment. The president made the request on Sunday during the Episcopal Ordination of new Bishop of Mbinga, Rev. John C. Ndimbo of the Roman Catholic Diocese of Mbinga in Ruvuma Region. He noted that religious institutions should invest more in the vocational training centers than anything else whereby youths especially dropouts can have the chance of getting vocational skills and help them become self reliant. “We are asking for your favor  to build many vocational centers in the country so that help the government to make more people to become self esteemed and become self employed rather than them waiting for white collar jobs which are very limited and not sufficient enough for everyone, hence pr...