Skip to main content

Posts

Showing posts from December 20, 2014

Kikao cha wadau wa ulinzi kwa Mikoa ya nyanda za juu kusini kilichoandaliwa na Mradi wa SPANEST

Kamanda wa Polisi mkoani Iringa Ramadhan Mungi akifungua kikao cha wadau wa ulinzi kwa Mikoa ya nyanda za juu kusini kilichoandaliwa na Mradi wa kuboresha mtandao wa maeneo yaliyohifadhiwa kusini mwa Tanzania SPANEST leo mkoani Iringa. Lengo ni kuzungumzia swala la kupambana na ujangili , na kuweka mikakati ya pamoja kuhusu swala zima la Uhifadhi wa wanyamapori